Naitwa scolastica, nimemaliza chuo mwaka 2011, tangu nimalize chuo mpaka leo sijafanikiwa kupata kazi, kwasasa natafuta kazi yoyote ile ili mradi isiwe haramu na iwe ndani ya uwezo wangu, nipo...
Hope muu wazima.
Naombeni msaada kuna mdada ambaye ni dadayake na dada anayeniangalizia nyumba ana 21yrs of age antafuta kazi! alishawahi kufanya kazi za ndani na kuuza duka kwa hiyo uzoefu anao...
Kuna huu mfumo umeingia siku hizi wa watu kujifanya wajuaji wa kutoa ushauri kumbe mi kwa upande wangu nawaona wanafki tu.
Eti unamkuta mtu anawashangaa vijana waliomaliza vyuo ktk fani mbalimbali...
Am looking for a job in any reputable organization, well experienced in administration, sales and marketing and front office managenent. contact, plz pm. thx
Habari wakuu,Kesho tarehe 17/01/2014 ntakuwa na maombi maalumu sana na kwa MUNGU aliye juu mbinguni hasa kwa wale tunaotafuta kazi.ukipenda kuungana nami nipatie jina lako hata first name tu or na...
Baada ya kunyanyaswa na intavyu za majesh nataka nianzishe
NGO ila nachohtaj ni msaada toka kwenu kwa kunfahamsha
ni shlng ngap wanachaj uktaka fungua TOVUTI.
Jobs at SOS Childrens Villages Tanzania
Electrical Engineers Jobs at IRIS Executive Development Centre
Mechanical Engineer Jobs at IRIS Executive Development Centre
8 Waitresses Jobs at Green...
Habari zenu wadau,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,Taaluma yangu ni Electrical installation na nina ngazi ya cheti level 2,Nilikuwa nawaomba muweze kunisaidia kupata nafasi ya...
Hizi ni kazi 3 kati ya kazi 27 mpya zilizopostiwa tarehe 16/1/2013 Kuweza kuona kazi zote zinazopokea maombi kwa sasa, tembelea ukurasa huu ---> www.ajirakwanza.com
Job title: Project Coordinator...
Jaman Ninamwaka wa tano nmeaply kaz alfu moja mpaka jana through email na posta nmeitwa MBILI Tu Tangu 2010 Mpaka Leo. Mbaya Wakuu Nmeoa Nina Mtoto Wfe Mwalm Me Jobless Sasa Nafkiria Kwenda Kupga...
Nina Mwaka Wa Nne Nautafta Wa5 Na Nmeaply Kaz Mpaka Jana Sehem Elf Moja Nmeitwa Mbil Na Nkapgwa Chin Sasa Nataka Nkasome DP Ya Ualm Sehem Niliyopo Ni Aibu Nili Ingia Kwenye Kilimo Sasa Kuna Mtt Wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.