tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 66
Hope muu wazima.
Naombeni msaada kuna mdada ambaye ni dadayake na dada anayeniangalizia nyumba ana 21yrs of age antafuta kazi! alishawahi kufanya kazi za ndani na kuuza duka kwa hiyo uzoefu anao. ameniomba nimsaidie kumwangalizia popote kazi pls kwa yeyote anayeweza kumsaidia huyu dada nitashukuru anakaa hapa Dar kwa bibi yake. Anatokea Soni, Lushoto - Tanga. Nitakuwa Guarantor wake.
Kuhusu mshahara ni makubaliano.
Anaitwa Sara 0719 705465.
Natangulisha shukrani zangu za dhati for more information send me private message.
regards,
Tete'a'tete