Maombi

Maombi

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,980
Reaction score
3,635
Habari wakuu,Kesho tarehe 17/01/2014 ntakuwa na maombi maalumu sana na kwa MUNGU aliye juu mbinguni hasa kwa wale tunaotafuta kazi.ukipenda kuungana nami nipatie jina lako hata first name tu or na surname ntaliombea na jioni ntalipeka kanisani kwenye sanduku la maombi liombewe pia.Mungu awabariki.
 
huna kazi ya kufanya fanya kazi kijana
 
we baada ya kuomba mwenyewe kwa mungu unatka mtu akuombee?;akili mbovu hyo
 
Back
Top Bottom