Nina shahada ya computer science natafuta kazi si lazima iwe kwenye industry hiyo,nipo tayari kujisaidia kwa kiasi fulani cha pesa.nipo dar, help pls..
Dedline date 18.8.2012
Starting date 20.8.2012
Contact 0719 078955
QUALIFICATIONS:
- O Level Certificate
- Certificate in accounting/Economics/Finance/Business/Social Science or related to the...
wakuu habar zenu! nawakumbusha kikao chetu chenye mada ya kuanzisha tanzania graduate saccos to tanzania graduate bank, wale wote watakao hudhuria naomben tukutane NAKIETE PHAMANCY- MWENGE...
Eti ...MALIZIA METHALI ZIFUATAZO
1.MSAFIRI MASKINI..........
2.MKONO MMOJA.........
HESABU SASA
6×0=
7×6=
haaaaa yaaani saa 6 mpaka saa kumi na moja ndo tunaanza jamani hali inatisha ....
Hii kampuni inaitwa shephere construction. Walitoa tangazo kwenye linkedlin kuwa wanaajili ila post hawakuweka ilitakiwa utume resume tu! nilifanya hivyo sasa wamenitumia hii. Baada ya kuwajibu...
Wakuu habari, samahanini kwanza, nimepigiwa simu kwenda interview habib bank, napenda mnijuze wanalipaje hawa watu kwa entry level (fresh graduate, no experience) katika departments zote. Na pia...
1. WASAILIWA WANATAKIWA KUFIKA SEHEMU WALIYOPANGIWA KUFANYA USAILI SAA MOJA ASUBUHI TAREHE 17 JANUARAI 2014 WAKIWA NA VYETI VYA HALISI VYA ELIMU NA CHA KUZALIWA.
2. WASAILIWA WA KADA ZILIZO...
wakuu habar zenu? nilikuja na hili wazo mwez wa december, wapo waliokubal,wapo walionitukana,wapo walionipongeza. lakin hii yote ni jitihada ya kujikomboa kwa sis vijna tusio n ajira na nilitoa...
dah wakuu,
tuache masihara swala lakua unemployed ni msala sana. sometimes we try to think outside the box to come up with some ideas za self-employment sema mitaji nayo ndio mbwa kala mbwa! Hata...
Nina mtaji wangu wa shilingi laki Nane.Nilikuwa na genge ila genge eneo nilipo halinilipi na pia ninabanwa na kazi yangu ya msingi maana sina mtu mahsusi wa kunifatia vitu sokoni kila siku...
Hello to all....! I would like to share with u beloved friends of mine these good news, I am named as it's seen on my JF page, I'm currently working as an Assistant Finance & Administration...
Naitwa scolastica, nimemaliza chuo mwaka 2011, tangu nimalize chuo mpaka leo sijafanikiwa kupata kazi, kwasasa natafuta kazi yoyote ile ili mradi isiwe haramu na iwe ndani ya uwezo wangu, nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.