Sitting at Your feet is where I wanna be
I'm home when I am here with You
Ruined by Your grace, enamored by Your gaze
I can't resist the tenderness in You
I'm deep in love with You, Abba Father...
Ni siku ya 3 leo tika niajiriwe na kujaza mkataba nimepangiwa kituo kidogo cha kufanyia kz ila hapo nilipopangiwa hakuna kazi ni kusaga ---- tuu kwenye bao
Watu wananishauri kua niombe nibakie...
nashindwa kuelewa kitu gani kimetokea. Tulipigiwa simu mimi na wenzangu katika taasis moja ya serikali kuwa tumepata kazi kwa hiyo tunatakiwa kuripoti kwa ajili ya kuanza kazi. Cha kushangaza siku...
Muda mwingine hua natamani nijiue tu nkapumze ila nakumbuka kufanya hivyo ni dhambi kubwa na mwishowe ni motoni.
Mwaka 2010 nilishndwa kuendelea na advance kwa matatizo ya kifedha.
Mwaka huohuo...
Habari za leo wadau wa jamii forum, jamani natafuta kazi, hata ya kujitolea kwa muda (volunteers) katika taasisi yoyote ile, nimesomea fani ya Rasimali watu (Human resources) ngazi ya...
University of Cambridge Language CentreLanguage Teacher: Swahili 
Hourly Paid (£38.85 per hour + discretionary travel allowance)
We are recruiting for an enthusiastic language teacher with a...
Habari wakuu...samahani naomba mnijuze kuna email nimetumiwa na hii org kuwa natakiwa nifanye Aptitude test na wakanipa link ya centres ambazo nikishalipia wananitumia online test nafanya...
Habar wana JF
Mimi ni kjana wa kiume nasoma chuo flan hapa Arusha mwaka wa 3,kutokana na bodi kunicheleweshea mkopo wangu toka mwez wa kumi had leo kwa kuleta majbu kuwa on processing nmekuwa...
habari jamani, nauliza mwenye info za nafasi za kazi zilizotangazwa na Tanroad mkoani kigoma kuna mwenyekujua lolote au inteview tayari maana hii nchi majanga tupu
Sor jaman wana jf, hivi hii organization ya room to read hawajaita watu kwenye usaili wa nafasi za social mobilizer na girls advisor? Kama una taarifa yoyote plz let me know
Mwenzenu huwa naitwa sana kwenye interview ila sijawahi kufanikiwa katika nyanja za ajira niombeen walau PCCB nionekane kwani nipo tena kwenye shortlist yao
First polen wenzang ambao hamkuitwa...uuuups its so sad and its like movie you know what watu tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ila tumepigwa chini hta kwenye shortlist hatuwepo..
.....is that true...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.