NI vizuri tu usikae bila kazi,Omba Mungu atakusaidia tu.Jaman Ninamwaka wa tano nmeaply kaz alfu moja mpaka jana through email na posta nmeitwa MBILI Tu Tangu 2010 Mpaka Leo. Mbaya Wakuu Nmeoa Nina Mtoto Wfe Mwalm Me Jobless Sasa Nafkiria Kwenda Kupga DP Ya Ualm Mnasemaje Hapo Wakuu Hali Mbaya