Kumb. Na EA.7/96/01/E/31
20 Januari, 2014
KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya College of African Wildlife Management (MWEKA), Tanzania...
Mi nashangaa hawa sekretariat ya ajira,wanatoa matangazo ya kazi na sharti la mtu kama ni mwajiriwa wa taasisi ya serikali lazima barua yake ya maombi ya kazi ipitie kwa muajiri wa taasisi...
Nimeona watu wengi wanalalamika sana kuwa ajira ngumu katika hii forum
KATIKA YOTE AJIRA NI NGUMU SANA KUPATA SIKU HIZI NA NI BAHATI AU NI KWA NEEMA YA MUNGU TU HATA KAMA
UNA SIFA KIASI...
Wauzaji wengi walioajiriwa katika biashara wengi wamekuwa wadokozi wa pesa wengine wanahonga wanawake hadi kupelekea hasara kwa mwenye duka. Mi naona kama mtu unauwezo wa kukaa mwenyewe kusimamia...
Wanaharakati wenzangu naombeni msaada kwa anayefahamu application form za masters za vyuo hivi zinatoka lini na qualifiction zao ni zipi yan wanachukua GPA ya ngapi?UDOM,MZUMBE,&ST AGUST YA MWANZA
Nauza gari aina ya Gaia 2001,imetembea km 168,000, .inauzwa kwa Tsh.7,700,000. ipo katika hali nzuri,Ac,radio,engine kila kitu smart.nipo mbeya .contact 0658190222.chech attached forder have a...
Jaman naomba kuuliza wale tuliopata Barclays bank tukaambiwa tutapigiwa simu siku ya kuanza kazi vp kuna mtu ameshapigiwa teyari? au mwenye taarifa yeyoto plz inform
Head of Operations at TIGO TANZANIA
CORE RESPONSIBILITIES
• Lead and coordinate, aligned with the global operations strategy, the areas of Supply Chain, Technology Factory, Strategic...
kiwanja kinauzwa
vipimo vyaki ni hivi
magharibi mita 77
mashariki mita 89
kaskazini mita 62
kusini mita 8
na nivizuri ukienda kukiona mwenyewe ili ujilizishe!!
Email Address...
Wauzaji wengi walioajiriwa katika biashara wengi wamekuwa wadokozi wa pesa wengine wanahonga wanawake hadi kupelekea hasara kwa mwenye duka. Mi naona kama mtu unauwezo wa kukaa mwenyewe kusimamia...
Hivi kuna baadhi ya makampuni yanacheza na mind za watu inakuwaje wanaita interview kila mwaka bila kuajiri watu kama kumi na tano hivi tulifanya interview mwaka jana tumechoma nauli hawajaita mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.