Kama ni mda mrefu unatafuta kazi na aujapata.Usikate tamaa,endelea kupeleka maombi yako kila uonapo tangazo la kazi.Hiko siku utapata kwani Mungu anacho tazama ni nia ya Moyo wako na tamanio la...
Habari za Mchana wana JF,
Naombwa kujuzwa Dar Machinjoni Kimara or Pugu,Kilo moja ya Nyama Huwa inauzwa kwa bei gani? Ndugu zangu Ajira imekuwa ngumu nataka kufanya this business
wadau tujuzane possible questions kwa nafasi ya investigation officer..kwa waliowahi kufanya tafadhali msaada unahitajika kwa ajili ya maandalizi.Asante
Habari zenu...
Ndugu zanguni.
Naomba kuuliza kama zile nafasi walizotangaza Mwanainchi communication mwezi wa December 2013, wameshaanza kuita for interview...??
kwa yeyote anayejua...
kuna kazi niliomba sehemu naona wamejibu email kwa haya hapa sasa sijui wananipiga hela ya kufanya test au vipi?anaejua anijuze
FIELD OFFICER
Dear .....
We are writing to inform you that after...
Wapendwa changamkieni nafasi hizo
Who is eligible to apply?
All qualified applicants will not be discriminated against on the basis of race, color, gender, religion, socio-economic status...
Hizi ni kati ya nafasi 34 za ajira zilizotangazwa, ajira zote zipo www.ajirakwanza.com
IT. Technician
International Christian School
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Jan 30, 2014...
habari ndugu zangu wa jf,jamani natafuta kazi ya ualimu shule za msingi kwa kujitolea,niweze kukidhi mahitaji yangu binafsi wakati nikisubilia ajira.nimehitimu chuo cha ualimu grade A mei mwaka...
wapendwa salama,mimi ni kijana mwenye miaka 23,na taaluma yangu ni umeme na nina ngazi ya NTA level 2,nilikuwa naomba msaada wenu wa kupata nafasi ya kuvolunteer kulingana na taaluma yangu..Aliye...
aisee naombeni kuuliza kunatetesi zimeenea mtaani eti kwa mwaka huu ajira za ualimu zinatoka mwezi huu january na tena wiki hii kuanzia tarehe 19 mwezi huu, je kuna ukweli juu ya hili suala?
wale...
Mimi ni mhitimu wa elimu ya juu,ambaye kwa sasa nko nafundisha ktk shule moja ya binafsi hapa Dodoma.Mshahara wang c mkubwa kwan upo kat ya laki 460000 hadi 500000.Kulingana na kutosoma masomo ya...
Jamani kwny majina ya walochaguliwa kwaajili ya interview PCCB mbona cjaona ratiba ya accountant wanafanya lini, saa ngap na wap? Coz pale meona ratba ya investigation officer na asstant wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.