Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 400
Kuna huu mfumo umeingia siku hizi wa watu kujifanya wajuaji wa kutoa ushauri kumbe mi kwa upande wangu nawaona wanafki tu.
Eti unamkuta mtu anawashangaa vijana waliomaliza vyuo ktk fani mbalimbali na bado hawana kazi mtaani.kibaya zaidi kinajitokeza pale vijana hao wanapokua wanaomba ushauri kwa watu kuhusu namna gani ya kufanikisha kupata ajira,utaishia kusikia wanashauriwa kwa kukebehiwa na kudharauliwa...mf;kwanini msijiajiri tu,kwanza hata kuandika hujui hiyo interview utaiweza,vijana wa sikuizi mnabagua kazi n.k
Mfano wa maneno yanyotolewa na washauri hasa humu jf si ya busara kwa mtu anae hitaji msaada wa kimawazo au hata kimali.
Chaajabu zaidi kinachonifanya mpaka nakerwa na namna ya ushauri huo ni baadhi ya hao wanaotoa ushauri,kwanza wao wenyewe wameajiriwa alafu wanataka wenzao wajiajiri,pili wengine kazi zenyewe wameunganishwa na wajomba zao na tunawajua alafu wanawaona wenzao hawana akili ya kutafuta kazi,lakini pia wao wanafanya kazi za mamilioni ya shs kama mishahara na wathubutu kumwambia au kumshauri mtu afanye kazi zisizo na tija hata kwa ujira mdogo!
MANTIKI YANGU: ni kua hebu jamani tujifunze kutoa ushauri unaoendana na mashiko na si kuropoka tu kwa kua umepewa kipaji hicho.sidhani kama unaweza ukampa ushaur wa kukitisha tamaa mgonjwa na akapona.
Mwisho kabisa.si lazima ushauri au uandike ktk kila post haikuongezei kitu bali inakubomoa.