tycoonff
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 928
- 1,311
Wakuu habari, samahanini kwanza, nimepigiwa simu kwenda interview habib bank, napenda mnijuze wanalipaje hawa watu kwa entry level (fresh graduate, no experience) katika departments zote. Na pia mnipe any necessary information ambayo mngependa nielewe. Naombeni information ili niwe katika nafas nzuri ata ya kubargain endapo ikitokea, na pia kuhandle kwa umakini maswal ntayotupiwa. Asanteni kwa mchango wenu.