Wandugu nani anawajua hawa? Naonakuibiwa

Wandugu nani anawajua hawa? Naonakuibiwa

bugorobi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
107
Reaction score
36
Hii kampuni inaitwa shephere construction. Walitoa tangazo kwenye linkedlin kuwa wanaajili ila post hawakuweka ilitakiwa utume resume tu! nilifanya hivyo sasa wamenitumia hii. Baada ya kuwajibu wamenitumia questionnaire nayo nimejibu nakutuma ila ninashaka. ujumbe wao ni huu hapa.

We have received your submitted CV/RESUME and we sincerely appreciate
your interest in our company, in line with this, we have reviewed your
CV/RESUME for employment consideration as your education back ground,
previous experience meets up with the required qualifications for the
post of accounts with the salary amount of 13,500 GB Pounds per
month.

We are desirous of having you work with us after this assessment by
us, as we see your skills as value addition to our company and our
clients respectively.

Benefit:
The company will provide free accommodation ,Insurance (NIN) ,Flight
Ticket,Tax Free,salary allowance , Free Medical Expenses , Vacation
paid leave Allowance and many more benefit you will see in your
Appointment Letter

Working Schedule:
•Working Days & time: Monday to Friday: 8:00 AM - 6:00PM (GMT) with
break period of 2hrs hours only,beginning from 12.00noon to 2.00pm

• Employees shall also be entitled to over-time allowance if their
work time exceeds the official stipulated hours. Salary shall be
liable to increments with time and employees' official promotions and
position in service.

• Saturday & Sunday: Off Day

•Shift Time: Morning and Night.

•Contract Period: 2 Years contract and it can be extended if only you
wish to remain with our company

We are offering you 3month vacation interval and during this period..
You have the chance to visit your love ones and family. The company
will take care of your Vacation flight ticket (Return Ticket to and
fro).

As a notice of acceptance of job offer, we shall send you appointment
and invitation letter for you to sign and return the sign copy back to
us for record purpose. So therefore kindly let us know if you are
satisfied with the salary rate above in order for us to proceed
further.

Please keep this job reference number (.......................)
important as it will be needed from time to time in respect of your
job application and Interview. For Interview. Kindly add the I.D below
in your Skype (border.employer26 )

We await to hear from you ASAP.

Best Regards
Awaiting your urgent reply
Shepherd Construction U.K
(+44) 7031931057
 
Sasa mkuu,kama uliomba na una uhakika kuwa mawasiliano yao ndiyo hayo una shaka gani? By the way kipi kimekupa wasiwasi hapo?
 
Sasa mkuu,kama uliomba na una uhakika kuwa mawasiliano yao ndiyo hayo una shaka gani? By the way kipi kimekupa wasiwasi hapo?

Mkuu Katitma! asante ila cv yangu niliyotuma aiendani na kazi wanayotaka kunipa! mimi sijawahi somea accounts nipo field ya Environmental! Hilo ndo limenipa ukakasi mkuu!
 
mkuu katitma! Asante ila cv yangu niliyotuma aiendani na kazi wanayotaka kunipa! Mimi sijawahi somea accounts nipo field ya environmental! Hilo ndo limenipa ukakasi mkuu!

hapa sasa nimekuelewa mkuu,halafu baada ya kupitia vizuri uzi wako nimegundua kuwa hawa jamaa wamekutumia "job offer" kabla ya usaili.ninavyofahamu ni kuwa taasisi,makampuni ama sehemu nyingi za ajira hutoa 'job offer' baada ya kufanya usaili ili kuona kama unakubaliana nao au la,ili utaratibu wa mikataba na mengineyo ufuate.kuwa makini mkuu kuna kitu kinafuata hapa.
 
Kweli mkuu Katitima wacha niende nao taratibu ikifikia hatua ya kuwatumia mshiko nikimbie kama mwizi!
 
Hapo cha kuangalia ukiona unaombwa uwatumie pesa tu,zinduka na toka baruti!
 
Bugorodi be care full nenda nao kwa step sio suala la pesa tu Bali kuna mengi zaid kwa usalama wako.
 
Last edited by a moderator:
Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kutafuta ajira..Hakuna mtu asiyekujua akakupa kazi bila interview tena kwa salary kama hiyo ambayo ni very imaginative...hizo benefits tu zinatia wasi wasi..mostly watu wanaopata benefits kama hizo ni very senior positions au labda uwe na kipawa ambacho duniani ni rare kupata watu kama hao...especially from Africa.

Stop dreaming!!Amka ukijibu tu watakutumia maelekezo mengine..mwisho wa siku wataomba details za bank ikiwepo na card number ili wakutumie pesa ya nauli..then hapo ndipo utakapolizwa.
 
Thanks mkuu!
 
Back
Top Bottom