kigezo experience ndyo kinaleta shida.Shahada ya Computer Science halafu unatafuta kazi!!! Ulihitimu Chuo gani mtanzania mwenzangu? Mbona kazi za kada hiyo zipo nje nje hata leo hii ukichukua gazeti lolote makini hutakosa au vigezo vimepungua?
Mkuu unafuatilia ajira zinazotangazwa na tume ya utumishi wa umma? Juzi kati tu walitangaza nafasi kibao na sasa wameajiriwa vijana wengi sana fresh from colleges fani yako wakiwemo wa kutosha tu.kigezo experience ndyo kinaleta shida.
He! Faida 1000 matumizi 3500!Kwanini usitumie icho kiasi kidogo cha fedha kujiajili, anza ata nakuuza vocha utatoka!
kujiajiri tumesha jiajili hapa tunatafuta njia mbadala ya kuingiza pesa nyingiKwanini usitumie icho kiasi kidogo cha fedha kujiajili, anza ata nakuuza vocha utatoka!
kujiajiri tumesha jiajili hapa tunatafuta njia mbadala ya kuingiza pesa nyingi