Wazoefu wa hii kitu nipe ushauri wenu.

Wazoefu wa hii kitu nipe ushauri wenu.

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Nina mtaji wangu wa shilingi laki Nane.Nilikuwa na genge ila genge eneo nilipo halinilipi na pia ninabanwa na kazi yangu ya msingi maana sina mtu mahsusi wa kunifatia vitu sokoni kila siku.
Nimeamua kubadilisha biashara ,badala ya genge nitafte eneo lenye centre huku Tabata nifungue ofisi ya kuuza nguo za mitumba za kike maana naona kiasi fulani zinalipa kuliko genge.
Naenda Ilala kila jumamosi nanunua nguo angalau Mia mbili za kuuza wiki nzima.
Wadau vp hyo mnanishaurije?
 
Back
Top Bottom