Hi wakuu...nimepokea email leo hii kutoka recruitment agency ya nje ya nchi.
Thank you for your email and attached CV. Please could you provide us with an anticipated daily fee rate to help us in...
Natafuta kazi ya Graphics Design,ni mzoefu sana kwenye shughuli hii,nimefanya kazi nyingi za Graphics kama kudesign artworks kwa ajili ya mabango(Billboards),CD/DVD covers,Logos,etc hivyo nna...
Habari zenu ndugu,
Ni takribani wiki tatu na kidogo zimepita tangu nilipoambiwa kwamba nimepita kwenye usahili na kuambiwa nipeleke vitu vinavyohitajika katika kampuni flani.Niliambiwa kwamba...
FreeLancer Multimedia Expert with experience in animations,video making,capable to use adobe after effect and other related softwares.Call 0716134141/0766091869,deadline 31st Jan 2014.
PAID INTERN PLACEMENTS AVAILABLE AT DOT TANZANIA
Organization Description
DOT is a leading international social enterprise headquartered in Canada with local operations in 14 countries around...
The US Embassy is seeking two individuals for the position of Chauffeur.
BASIC FUNCTION OF POSITION
Serves as a Chauffeur in the US Embassy motor pool with responsibility for seeing to the safety...
Clinic binafsi inatafuta AMO au CO wa full time Iringa. Awe na experience ya miaka miwili au zaidi, aweze kujaza kwa ufanisi fomu za bima binafsi (aar,strategis e.t.c.) na awe na uwezo wa...
I came across this article about the mistakes a lot of applicants make when they apply for Jobs nowadays, especially graduates. I really think you guys should check it out. By the way, here are...
Tunawashuru wote waliojitokeza kwenye usail wa kaz ya udereva uliyotolewa na kampun yetu na tuna washauri waiokosa nafasi waskate tamaa kwa mwez wa pil kampun imeagiza magari mapya ya mizigo hvyo...
Nimefanya test ijumaa kama ilivyotakiwa, vigezo na masharti nimezingatia ila cha kushangaa kwenye matokeo jina langu na maksi nilizopata silioni. Hata kama nimepata zero ni haki yangu...
Habari ya leo
wanajf!
Naomba msaada wa kupata kazi .
Nimeomba kazi maeneo mengi sana.Nikiwa nimekidhi vigezo kwa asilimia zaidi ya 60 mpaka 90.lakini naona kimya mpaka sasa.
Kielimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.