Wadau nawakumbusha kuwa juma mosi hii ya tarehe 25/01/2014, kutakuwa na kikao cha wanachama wote wa tanzania graduate association kitakachofanyika pale NAKIETE PHAMANCY- MWENGE (DSM), mida ni saa...
World Vision Tanzania is seeking to recruit a suitable candidates to fill the following positions:
Job Ref No: WVT/P&C/F13/55
Job Title: Sponsorship and Program Facilitator (192 Positions)...
nimiaka takribani mitatu hawajaajiri watu wa archaeology.
course inatolewa kwenye chuo kikuu cha dar es salaam. pia kuna course nyingine zinazolandana na Archaeology ambao soko lao la Ajira ni...
tasktojob ndo jibu lako.Here is the way you can get free money just click on the link and register.registration is free and takes less than 30 seconds.https://www.jamiiforums.com//index.php?task=95630...
Ndugu zanguni mimi ni dereva wa magari, sifa zote ninazo!, naombeni anae weza kunipatia kazi anisaidie, sio lazima udereva tuu hata ukonda wa magari makubwa nipo tiari!, namb yangu ni 0763023065..
Habari zenu,
Mimi nina bachelor ya Information Technology,swali langu ni kwamba ni nafasi gani naweza omba pale jeshi la zimamoto na address zao ni zipi?
Shukran.
POSITION: MARKETING MANAGER
REPORTS TO: COMMERCIAL DIRECTOR
DUTY STATION: DAR ES SALAAM
You will be reporting to Commercial Director- Precision Air Services Ltd
Please take note of your...
kuna viwanja viwili nimeamua kuviweka sokoni hapa maeneo ya shangarai
kimoja ni 15 kwa 25 Millioni 6
kingine ni 15 kwa 18 Milioni 5
Bado maelewano yapo kama kawaida
wasiliana na hii 0767 931887
Mimi ninatafuta nafasi yakazi ya kuendesha mitambo ya kisasa ya utibuni maji mi ni mtaala na mzoefu baadhi ya mambo yafuatayo .ph do tss,sv,vfa and cod and plant operation nisaidie mi niko fiti ...
The Director General of the State Mining Corporation (STAMICO) invites the following shortlisted applicants to attend written and oral interview to be held on the dates and venue as indicated...
heshima kwenu ndugu zangu wajasiriamali wenzangu,nimetuma hii post kuwasaidia kuepukana na wezi wa kuku ambao wameibuka hapa mjini.
Hawa jamaa wanatabia ya kufuatilia wafugaji na mara nyingi...
Hi, Good day
The use of technology (internet in particular) grows massively in Africa as
a result more business people have the desire to see their business online.
Web Development and...
Mimi nina certificate ya (Envirnimental conservation and Afforestation) natafuta kaziyoyote kwenye makampuni,Mashirika au taasisi yoyote inayohusiana na kozi yangu naomba mnisaidie wadau mi niko...
How are you today? Community stakeholders forum, seeking work even Volunteer for a time in any Institutions/company. I have studied the field of public administration, Undergraduate level. Also...
Habari. Naomba kujua muda ambao waombaji hupata matokeo yao baada ya kuomba Tgcl scholarship na je scholarship Hii ni yenye uSawa kwa waombaji au inaubaguzi/upendeleo
Kuna kazi niliomba kupitia tume ya ajira mwaka jana.Kigezo cha elimu walikuwa wanataka diploma in educatio.Niliambatanisha cheti cha diploma ingawa nina hata bachelor ya hyohyo education.
Sasa...
Hizi ni kati ya ajira 26 zilizotangazwa leo, kona ajira zote bofya HAPA
Stocks Controller at Puma Energy, TanzaniaPosition Description:
Puma Energy International is a rapidly expanding...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.