Hapa kuna kazi au utapeli??

Hapa kuna kazi au utapeli??

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,980
Reaction score
3,635
Hi wakuu...nimepokea email leo hii kutoka recruitment agency ya nje ya nchi.

Thank you for your email and attached CV. Please could you provide us with an anticipated daily fee rate to help us in the evaluation of your suitability.

-
We appreciate your application and interest in this position.
-
Kind Regards,
 
hakuna kazi yoyote ya kulipia huwa mara nyingi ikitokea hawana hela ya kufanya usahili watakua na hela ya kukulipa kweli hawa labda zile za kwetu huku ambazo afisa mwajiri anakuambia na masharti yake ni kwamba umpe mshahara wa mwezi wa mwazo
 
jamani kutafuta kazi ni kazi,pia kupata kazi ni kazi nafkiria kununua boti za uvuvi kupunguza tatizo la ajira
 
usipoteze muda wako hapo, fanya mambo mengine
 
Wakuu hata Mi nielewa tofauti kama wengi tulivodhani, kuna expart Mmoja kaniambia ni rate ya kulipwa Mimi per day na akanishauri kwa huo mradi rate ya kuweka.
 
Back
Top Bottom