Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI January 2013

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Naombeni mwenye taarifa au tetesi kuhusu Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI kwa mwezi January 2013 wanatoa list lini na kikao cha kupitisha ni lini?
 
Naskia watu washapata barua lakini ukiingia katika web yao hakuna habari hyo au ndo kimyakimya ngoja tusubiri wenye kujua watwambie
 
Naombeni mwenye taarifa au tetesi kuhusu Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI kwa mwezi January 2013 wanatoa list lini na kikao cha kupitisha ni lini?

ingia kwenye website yao wamesha release majina
 
Dah asante mkuu kwel bwna wametoa lakini mbona hicho kiambatisho sikipati vizur atayeweza aweke majina niyasome kupitia jf.
 
ndugu ata mimi natafuta hayo majina ya nimechek web yao lakini wali ya post tarehe na sasa wamesha ya toa,aliye weza kuya download atu juze! asanteni
 
ndugu ata mimi natafuta hayo majina ya nimechek web yao lakini wali ya post tarehe na sasa wamesha ya toa,aliye weza kuya download atu juze! asanteni

dah! Yaan jana2 leo wametoa ngoja tusubiri waliodownload au wanachakachua nini?
 
Nimepata habari hayo majina yamebandikwa notes board za tamisemi dodoma kama kuna wadau uko wafanye mpango ili yame kwenye mtandao.
 
Kuna jamaa aliniambia alifuatilia akaambiwa majina yatatoka kuanzia jan 15. So kama kuna m2 ameshayaona please 2julishane wana jf hapa ndo kupeana news wana jf. Jaman 2naotaka kuhama 2po wengi, wengine ni walimu wanashindwa waazimie au la!
 
pia ndo taarifa nlizozipata nami pia
 
Wapendwa wana jf mnaofuatilia uhamisho toka tamisemi nami ni mmoja wenu. cha msingi, secondary na college ni kupashana habar kwa yeyote atakaye pata news inayohusu issue hii. mchana nimepata sms toka huko juu kuwa within 2 weeks mambo yatakuwa shwari
 
Wadau kuna mdau anaitwa mfarisayo katoa file ya majina ingien ktk forum hiihii ya kaz mi nshaona jina langu naxubir barua2.
 
Namour, mbona mfarisayo wako cjui mgalatia hatoi majina ukiingia anakurudisha ulikotoka au haya mambo ya mitandao yana m2 na m2? Please mkuu kama kweli 2saidie ili nasi tuchungulie. Pressure pressure jaman mtatuumiza wenzenu!
 
Back
Top Bottom