Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

Powel Mizengo

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
126
Reaction score
24
Natafuta msichana wa kazi za ndani mwenye sifa zifuatazo: 1:Awe amehitimu kidato cha iv. 2:Awe anajua kupika vizuri vyakula vya kitanzania. 3:Awe anajua kufanya usafi wa nyumba vizuri. 4:Awe anafanya kazi pasipo kusimamiwa. 5:Awe mwaminifu. MSHAHARA:Tsh 40,000/= kwa mwezi kula,kulala na matibabu ni juu yangu kama mwajiri. Kwa atakaehitaji nafasi hiyo awasiliane kupitia namba ya simu ya mkononi 0715 701 070. Mahali atakapofanyia kazi ni Dar es Salaam Mbezi Beach(Mbezi juu Tatedo)
 
Ebu dokeza jinsia yako kwanza nijue
 
kwa kigezo cha elimu na mshahala wala haviendani bora ungeseema darasa la saba au uongeze kiwango cha mshahala
 
Elfu 40 form four,si bora akawa mjasiliamali..
 
Div five hawezi pata kazi mkuu?
Vipi kwani hiyo nyumba menu yake imeandaliwa kwa lugha ya kiingereza? If not kigezo cha elimu kinatoka wapi?
 
Natafuta mdada wa kazi,Niko radhi kumlipa 35,000 kwa mwezi!mwenye kuweza kunisaidia please anitext 0757-658718
 
hujui hata ushindani, badala ya kupeleka dau juu wewe umeshusha zaidi!
 
Natafuta mdada wa kazi,Niko radhi kumlipa 35,000 kwa mwezi!mwenye kuweza kunisaidia please anitext 0757-658718

Sio uko radhi kulipa 35 ila n mshahara wenyewe unaoanzia kwa msichana wa kazi za ndani japokua n ndogo pia
 
We wa ajabu,nikiweka bei kubwa utamlipa we we?@twilumba
 
natafuta dada wa kazi..ajue kulea watoto..mtoto mmoja amasoma chekechea.mwingine miezi tisa.kazi yake ni watoto tu.kuwapikia..kuwafulia ...kuwaosha..uangalizi wote wa watoto...jukumu ni watoto tu...mshahara elfu 50.tabia njema ni muhimu..0756 811757
 
Chukua wadohozako mbwa wewe yaani elfu 50? Ushindwe,laya angalau kilo utaeleweka,hujui mshahara mdogo ndio chanzo chavitotovyako kuanza kusagwaa?
 
Inaonekana wenye kuhitaji wasichana wa kazi ni wengi humu....kama vipi ongeeni na mbunge wa Temeke, Abas..atawapatia through his agency maana wengine anawapeleka Arabuni
 
chukua wadohozako mbwa wewe yaani elfu 50? Ushindwe,laya angalau kilo utaeleweka,hujui mshahara mdogo ndio chanzo chavitotovyako kuanza kusagwaa?

maneno yako hayatakaa yatimie...nimeyakataa kwa jina la yesu...kinywa chako na mawazo yako machafu hayatafanya kazi.
 
natafuta dada wa kazi..ajue kulea watoto..mtoto mmoja amasoma chekechea.mwingine miezi tisa.kazi yake ni watoto tu.kuwapikia..kuwafulia ...kuwaosha..uangalizi wote wa watoto...jukumu ni watoto tu...mshahara elfu 50.tabia njema ni muhimu..0756 811757

so hatoshughulika na usafi wa nyumba kufua nguo za wakubwa na shughuli nyingine yoyote isiyohusisha watoto ni watoto tuuuuuuuuuu? au sijaelewaa mimi!!
 
maneno yako hayatakaa yatimie...nimeyakataa kwa jina la yesu...kinywa chako na mawazo yako machafu hayatafanya kazi.

ashindwe na alegeeeee.....alafu wewe mkali unakemea pepo hadi kwa maandishi.upo juu
 
Duh! Wabongo wengine ni vigwasa, sio mchezo. Mfanyakazi wa ndani, kazi 24/7, Hana weekend. Mshahara 40,000. Taratibuni jamani. Nao ni binadamu pia.
 
ye mwenyewe anafanyakazi masaa kibao afu analipwa kima cha chini ya laki moja na nusu, kwahyo ulitaka amlipe laki moja? afu watoto utamsomeshea wewe? chakula utamnunulia wewe? kodi je? nauli ya kwenda kazini? MSIWE MNAKURUPUKA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom