Mtaalam wa Graphics Design

Mtaalam wa Graphics Design

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Natafuta kazi ya Graphics Design,ni mzoefu sana kwenye shughuli hii,nimefanya kazi nyingi za Graphics kama kudesign artworks kwa ajili ya mabango(Billboards),CD/DVD covers,Logos,etc hivyo nna uzoefu wa kutosha.Kwa yeyote mwenye interest ya kufanya kazi na mimi anitafute kwa hii namba 0717995793.Pia ukihitaji kuona baadhi ya Artworks nilizowahi kufanya ntakutumia
 
Ukikabidhiwa ofisi waweza pata masoko? nasio kukaa,tu unasubiri mshahara ulipwe kamisheni ya kazi uliyoleta na kuidizaini
 
Kwa jinsi utendaji kazi wangu ulivyo na ubora wa kazi zangu + creativity nikipata nafasi hiyo kazi zangu zitajiuza zenyewe apart from kutafuta masoko.Kama unaofice usibane mkuu,naomba nafasi utajionea mwenyewe impact ya kazi zangu baada ya mda mfupi
 
Natafuta kazi ya Graphics Design,ni mzoefu sana kwenye shughuli hii,nimefanya kazi nyingi za Graphics kama kudesign artworks kwa ajili ya mabango(Billboards),CD/DVD covers,Logos,etc hivyo nna uzoefu wa kutosha.Kwa yeyote mwenye interest ya kufanya kazi na mimi anitafute kwa hii namba 0717995793.Pia ukihitaji kuona baadhi ya Artworks nilizowahi kufanya ntakutumia

Nime'bookmark hii thread, nitakutafuta in 2 wiks!
 
Baadhi ya Artworks zangu
0.jpg
1.jpg

4.jpg
5.jpg
7.jpg
8.jpg

16.jpg

15.jpg

17.jpg

18.jpg
9.jpg
19.jpg

23.jpg

40.jpg

41.jpg

38.jpg

34.jpg

13.jpg

32.jpg

33.jpg

39.jpg
 
Pia nna ujuzi wa vitu hivi;

-Computer Maintenance,Repair & Troubleshooting;
-Network Installation,Repair & Maintenance;
-Configuring network to various devices eg PC,Laptops,PDAs,Cellphones,etc;
-Familiar with other OSs eg Linux,Ubuntu,Mac OS;
-Data Entry.
 
Mkuu ukipatakazi utahitaji mshahara wa sh ngapi na je vipi uzoefu wako ni wa muda gani na elimu yako ikoje ni pm
 
Mkuu, jaribu na hii:

Jitolee kuwaandikia baadhi ya makampuni au wasanii Logo zao, kisha unawatumia free kwa Email au katika Page zao Social Networks. Nakuambia watakufikiria cku moja.

Nishawahi fanya kitu dizaini ya hii Vodacom, walinitafuta wao ingawa mimi nilikua nafanya kwa starehe zangu tu. Ingawa mwisho wa siku walinidhurumu.
 
Nimeipenda hiyo idea,ila pole ilikuwaje tena wakakudhulumu?
 
Back
Top Bottom