Vacancy: Assistant Medical Officer or Clinical Officer

Vacancy: Assistant Medical Officer or Clinical Officer

utinotino

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
119
Reaction score
45
Clinic binafsi inatafuta AMO au CO wa full time Iringa. Awe na experience ya miaka miwili au zaidi, aweze kujaza kwa ufanisi fomu za bima binafsi (aar,strategis e.t.c.) na awe na uwezo wa management na uongozi. i.e. kuwa incharge.
Uwezo wa customer care ni added advanatage.
Tafadhali tuwasiliane kwa maongezi zaidi.
 
muwasiliane kwa njia gani hapo embu weka wazi au ndo wataka mambo ya PM tena mdau
 
ndio ndugu. tuwasiliane kwa PM nikupe namba ya simu ili muwasiliane.
 
Back
Top Bottom