ndugu zangu nipeni ushauri,nimeanzisha kampuni ya kuzoa taka majumba,so nahitaji mawazo ni jinsi gani naweza kucarry out hii kazi,hapa nitacreate ajira kibao tu.
Hongera ni idea Nzuri. Tatizo linakuja kwenye ukusanyaji wa pesa baada ya kutoa huduma wananchi wengi wanakua wabishi wa kutoa pesa itahitaji uwe very committed ili uweze pata pesa yako kwa wakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.