Tangazo la kuitwa kazini wale waliofanya interview utumishi kuanzia April hadi June | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la kuitwa kazini wale waliofanya interview utumishi kuanzia April hadi June

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by majorbuyoya, Jun 7, 2012.

 1. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndugu wana jamvini, kwa wale waliofanya interview ktk sekretariat ya utumishi nimeona wameita watu kazini na tangazoo wametupia katika tovuti yao ya Utumishi. Ingieni kule kwenye tovuti ya utumishi na muangalie majina yenu.
   
 2. m

  mmteule JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  hongereni mliopata kazi hizi...... lkn kama umepata visivyo halali hiyo dhambi inakufuata huko unakoelekea... hakika najiapiza...toooooo.... nimetema mate chini. kama hukuchaguliwa kihalali achia ngazi usiende kuripoti.... ukithubutu....... utanitafuta...... nawatakia majukumu mema ya ujenzi wa Taifa
  1
  SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
  Kumb. Na. EA.7/96/01/B/151 7Juni, 2012
  KUITWA KAZINI
  Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji
  kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 18 hadi 21 Aprili, 2012 na
  23 hadi 24 Aprili, 27 hadi 28 Aprili, 2012 2012 na 14 hadi 18 Mei, 2012 kuwa
  walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa
  Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili. Aidha, wanatakiwa kuripoti katika
  vituo vyao vipya katika muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa
  vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals) vya masomo kuanzia kidato cha nne
  na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
  Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
  Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
  watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za
  kazi zitakapotangazwa tena.
  NB: Tangazo hili linapatikana katika tovuti zifuatazo:
  PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS, Public Service Management na PMORALG - Home -
  Na. MAMLAKA YA
  AJIRA
  TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA
  KAZINI
  1. S EKRETARIETI YA
  MAADILI YA
  VIONGOZI WA
  UMMA
  RECORDS
  MANAGEMENT
  ASSISTANT II
  1. MARIA MSHARE
  2. HALMSHAURI YA
  WILAYA YA
  RUANGWA
  WARD EXECUTIVE
  OFFICER III
  1. SIMON MGOWOLE
  2. FURAHA MORIS
  3. MASUNGA SALIDA
  2
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  4. JONAS MUHOJA
  5. FRANK A. MHAGAMA
  6. JAFFAR M. KOTOJO
  TRADE OFFICER II
  1. FRANK BENSON KIBIKA
  VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
  1. HILDA NESTORY IRAMU
  2. SHADHILY INNOCENT MSUNGU
  3. RENALDA MBILINYI
  4. OSWARD NKARAMA
  5. THIEM R. KOMBA
  6. MAGRETH MLIMBILA
  7. ASIA TWAHA
  8. ANTIA EDWIN
  9. MAUA ISMAIL
  ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II
  1. MELEJI MIBAKU KURESOI
  2. KISABO MICHAEL RUBIRYA
  3. VAILETH NGESI
  4. MVEKE PETER
  5. CHARLES JASIAS KIGAHE
  6. JALALA MWINYI JALALA
  CARTOGRAPHER II
  1. FRIDAY KIBONA
  2. NGOLLO SHENYE LUHUNGO
  PERSONAL SECRETARY III
  1. LIGHTNESS T. SHAYO
  2. AURELIA M. MONGI
  GAMES AND SPORTS OFFICER II
  1. GRACE RICARD BURATHA
  RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
  1. TUNU TAMBALO
  2. SAUMU ABDALLAH
  3. ZAINAB R. ISSA
  4. SHUFAA DADI
  5. TATU HEMED
  6. HABIBA RAMADHANI
  NUTRITION OFFICER II
  1. MARY THOMAS LYIMU
  FOREST OFFICER II
  1. FELISTA BONIPHACE
  OFFICE ASSISTANT
  1. MARIAM L. MATANDA
  3.
  HALMSHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA
  QUANTITY SURVEYOR II
  1. HAMIDU SHAKURU NGILILEA
  WARD EXECUTIVE OFFICER II
  1. AMOS TUGARA
  2. SHADRACK S. KAGANGA
  HYDROLOGIST II
  1. HASSAN MAALIM
  3
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  FISHERIES ASSISTANT II
  1. AUGUSTINO EDWARD KAZIMOTO
  ASSISTANT LAND OFFICER
  1. DANIEL BHOKE
  2. SHABANI HAMISI
  FOREST ASSISTANT II
  1. EVANSI POLIN
  2. ROBIN PIASON
  3. ACASALI MASSARO
  BEEKEEPING ASSISTANT II
  1. RICHARD ENOS GOMBE
  2. RICHARD ALEX
  VALUER II
  1. KARENGA MWESIGWA
  WATER ENGINEER II
  1. HAMIS MAIGE
  ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II
  1. LAURENT MARTIN MSAKAMBA
  VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
  1. MARTIN MABULA KILAGO
  2. MOHAMED A. NIVAKO
  3. WILFRED M. EZRA
  4. THEONESTINA MATANDA
  5. TERESIA KOMBA
  6. ISAYA KITUNGWA
  7. HENRY MTIBIHINYULA
  8. MAJUTO UNGULU
  9. DIMOSO KOMBA
  NUTRITION OFFICER II
  1. ZUBEDA MAHENGE
  FOREST OFFICER II
  1. PAITON ALMACHIOS
  CARTOGRAPHY II
  1. AMINU ALLY
  2. RACHEL NGOLO
  LAND SURVEYOR II
  1. RASHID MGAMBO
  RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
  1. ASHURA R. LUSHAKA
  4.
  OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  STATISTICIAN II
  1. LEOKADIA A. MTEY
  2. HELLEN MTOVE
  3. KALISTO J. LUGOME
  4. EVARIST AJEM
  5. ELIAS LUZARIA
  6. BASIKE MTELEKA
  7. ERIC B. LUALUA
  4
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  8. NGING’OYA KIPUYO
  9. FESTO A. MWEMUTSI
  10. COSMAS KAITAN
  11. JULIUS MKUMBO
  12. SOPHIA K. MNYANYI
  13. FADHILI MTENGELA
  14. IMANI ANYIMIKE
  15. MARY AUGUST
  SENIOR MONITORING AND EVALUATION OFFICER II
  1. AGGREY KINASHA HERMAN
  ACCOUNTS ASSISTANT
  1. MAGANGA JAMES
  RECEPTIONIST
  1. RAYA MIKIDADI
  5.
  KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI
  ENERGY ENGINEER
  1. SALMA BAKARI
  MINING TECHNICIAN
  1. SOLOMON AGREY
  LAND SURVEYOR II
  1. AKWILA SIMON
  6.
  KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO
  ASSISTANT ACCOUNTANT
  1. EDWIN S. NYAKECHI
  PERSONAL SECRETARY III
  1. VERONICA A. JIMISHA
  7.
  KATIBU
  TUME YA MIPANGO
  PERSONAL SECRETARY III
  1. JUDITH MBUKI
  2. BALEKI KULWA
  3. FELISTER DAUD
  8.
  TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE (TPSC)
  ASSISTANT LECTURER (ICT)
  1. FELICIAN S. M. BUNDALLA
  ASSISTANT LECTURER (EDUCATION ADMINISTRATION)
  1. GRACE M. MUSHI
  ASSISTANT LECTURER – LINGUISTIC (SWAHILI AND ENGLISH)
  1. HAMIS AMAN
  ASSISTANT LECTURER (FINANCE/ACCOUNTING)
  2. DIONYSIUM JOSEPH
  ASSISTANT LECTURER (ECONOMICS/PROJECT MANAGEMENT)
  1. AMINA CHIVI
  TUTOR I (ICT)
  1. LLOYO KAAYA LOTH
  9.
  TANZANIA METEOROLOGICAL
  LIBRARIAN
  1. SALUM TAWAN
  METEOLOGIST TRAINEE
  1. PETER ENOS
  5
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  AGENCY (TMA)
  2. MOHAMED HAMISI MOHAMED
  ENGINEER TELECOMMUNICATION
  1. BENEDICTO NTIBAYIZI
  10.
  TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION (TIE)
  CURRICULUM COORDINATOR (BUSINESS STUDIES)
  1. SHABANI HAMID A. SAMATA
  2. SEBASTIAN STANSLAUS
  ASSISTANT ACCOUNTANT
  1. ELIAS C. IRAMBE
  SENIOR OFFICE ASSISTANT
  1. MWAJABU MSANGI
  PRINCIPAL CURRICULUM COORDINATOR (MATHEMATICS)
  1. PETER SAFIEL MAYAR
  11.
  TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE
  (TFNC)
  TELEPHONE OPERATOR II
  1. PRISCA SEBASTIAN
  RESEARCH OFFICER I ECONOMICS
  1. SAMSON NDIMANGA
  12.
  INSTITUTE OF SOCIAL WORK (ISW)
  ASSISTANT LECTURER – HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
  1. MARIAM K. H. CHAUREMBO
  ASSISTANT LECTURER – SOCIAL WORK
  1. LEAH NIELSEN MWAISANGO
  PERSON SECRETARY I
  1. LILIACIA MELKIZEDECK
  13.
  COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE)
  ASSISTANT LECTURER (DEVELOPMENT STUDIES)
  1. GODFREY BUKAGILE
  PRINCIPAL ACADEMIC OFFICER I
  1. VERONICA S. KAHANGWA
  ACADEMIC OFFICER I
  1. JAMARY MURSHID
  ACCOUNTS ASSISTANT I
  1. IDD NDAKI
  PERSONAL SECRETARY II
  1. REHEMA BWELA
  14.
  DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY
  PRINCIPAL TECHNICIAN II
  1. ABDULKARIM ALFAN MCHOMVU
  ARTISAN II PLUMBER
  1. ODILO WILLIAM KAPONDO
  6
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  (DIT)
  PRINCIPAL INSTRUCTOR (CIVIL ENGINEERING)
  1. WOLTA EVARIST SHIYO
  SENIOR SUPPLIES ASSISTANT I
  1. DAMAS R. MUSHI
  15.
  AGRICULTURAL SEED AGENCY (ASA)
  OFFICE ASSISTANT
  1. PLASIDIUS G. MKULU
  ASSISTANT SUPPLIES OFFICER
  1. RASHID A. JARUMANI
  ASSISTANT ACCOUNTANT
  1. DERICK DANIEL TOSIRI
  2. WEREMA K. CHACHA
  3. JANE JAMESON KABAGE
  16.
  KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
  SUPPLIES OFFICER II
  1. MOHAMED HASSAN
  ASSISTANT SUPPLIES OFFICER
  1. THOMAS MASABURI
  PERSONAL SECRETARY III
  1. RADHIA M. SAID
  2. NEEMA MZINYANGWA
  OFFICE ASSISTANT II
  1. FESTO FILBERT MBIRO
  17.
  EXPORT PROCESSING ZONES AUTHORITY (EPZA)
  HUMAN RESOURCES OFFICER II
  1. NEEMA R. MATAGI
  INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT
  OFFICER II
  1. PATRICIA MORIS BURERE
  SENIOR INTERNAL AUDITOR II
  1. YUSUPH MBELWA
  RESEARCH AND PLANNING OFFICER II
  1. DONALD MIZAMBWA
  2. HIJA RAPHAEL
  PROCUREMENT
  OFFICER II
  1. WILLIAM M. MSOFE
  SENIOR PUBLIC RELATIONS OFFICER II
  1. FELIX HAULE
  PERSONAL SECRETARY II
  1. REHEMA BARIKIEL MMBAGA
  18.
  TANZANIA FOOD AND DRUG AUTHORITY (TFDA)
  DRUG REGISTRATION OFFICER
  1. RICHARD OK KOSONOGO
  FOOD INSPECTOR
  1. SALMA A. MHANDO
  QUALITY ASSURANCE OFFICER
  1. GLORY EMMANUEL SIAKO
  DRUG INSPECTOR
  1. ENGELBERT BILASHOBOKA MBEKENGA
  RECEPTIONISTS
  1. SHINA JOHN
  7
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  19.
  KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA
  COOPERATIVE OFFICER II
  1. JUMA JOSEPH MATAYI
  2. JEREMIAH BONIFACE
  3. BONIFACE KABELO
  4. ONESMO MWAISANGA
  5. HERMENEGILD HERMAN
  6. PETRONILA JOHN SHIRIMA
  7. SIFUELY LYAMUYA
  8. EVALINE MACHA
  9. REVOCATUS NYAGILO
  10. DENIS NGURUSE
  11. SPESDOMITILA NYONI
  12. ALBERT BENSON
  13. GODFREY RWEHUMBIZA
  14. ARON IBRAHIM
  15. EMMA C. MOSHI
  16. CHITINKA JOSEPH
  20.
  NATIONAL BOARD OF ACCOUNTANTS AND AUDITORS (NBAA)
  EDUCATION AND EXAMINATION OFFICER III
  1. IBRAHIM MAGAMBO ERNEST
  SENIOR PROCUREMENT OFFICER
  1. FAIZA MUSSA
  SENIOR LIBRARY ASSISTANT II
  1. LUCY B. MWALUPANGA
  EXECUTIVE ASSISTANT OFFICER III
  1. EVELYNE JAMES MCHARO
  OFFICE ASSISTANT II
  1. YUSUPH LEMA
  21.
  KATIBU MKUU WIZARA YA KAZI
  LABOUR OFFICER II
  1. RISTON MALINGUMU
  2. EMANUEL R. MWETA
  3. PASKAL B. KAPINGA
  4. EVA BALTAZARY MUSHI
  5. GERALD GEORGE
  6. NEEMA DANIEL
  7. DAUD M. CHUNGA
  8. NADHIRU OMARY
  9. PAMELA SHIRLEY SWAI
  10. BUPE KIBONA
  22.
  NATIONAL BUREAU OF STATISTICS (NBS)
  TRANSPORT OFFICER
  1. BARAKA RAMADHANI KAGHOMA
  8
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  23.
  GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCY
  (GCLA)
  CHEMICAL LABORATORY TECHNOLOGIST II
  1. MSAFIRI SAMWEL
  24.
  KATIBU TAWALA MKOA WA KIGOMA
  RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
  1. SUNIKA ABDUL
  OFFICE ASSISTANT
  1. RODRICK SAMWEL
  25.
  KATIBU TAWALA MKOA WA
  DAR ES SALAAM
  RECEPTIONIST
  1. HUSNA KANIKI
  26.
  MOSHI UNIVERSITY COLLEGE OF COOPERATIVE AND BUSINESS STUDIES (MUCCoBS)
  ESTATE MANAGEMENT AND ENVIRONMENT OFFICER I
  1. JANET DAVID
  ASSISTANT LECTURER (RURAL DEVELOPMENT)
  1. RASHID A. CHIKOYO
  2. PAULINE PAUL
  ASSISTANT TECHNOLOGIST I (LABORATORY)
  1. DEUSDEDITH P. MAKINGI
  SENIOR ACCOUNTANT
  1. SWALEHE KIBWANA
  PERSONAL SECRETARY GRADE I
  1. VINAH MASHAO KATHURIMA
  2. JANE KIMARO
  DRIVER
  1. EVANCE SIMON YAIRO
  LEGAL OFFICER
  1. HASSAN S. HERITH
  ACCOUNTANT I
  1. NJAMA ALLY
  ACCOUNTANT II
  1. BAKARI A. SENVUA
  PROCUREMENT OFFICER II
  1. STEPHEN ALEXANDER MARENGE
  27.
  KIBAHA EDUCATION CENTRE (KEC)
  EDUCATION OFFICER
  (COMMERCE AND
  ACCOUNTANCY)
  1. AMOS DAUD
  EDUCATION OFFICER (BIOLOGY AND CHEMISTRY)
  1. DEODAT JOSEPH
  TEACHER GRADE II
  1. EDIMUND CALIST KILEO
  2. RESTITUTA KIGOKORA
  LEGAL OFFICER
  1.LUTIGER CHAMICHA HAULE
  9
  Na.
  MAMLAKA YA AJIRA
  TAALUMA/KADA
  MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
  PERSONAL SECRETARY
  1. REHEMA BIGGE
  OFFICE ATTENDANT
  1. JACKLINE KAPINGA
  SECURITY GUARD
  1. BENJAMIN D. FATAKI
  COOK
  1. BAKARI MOHAMED MLAGILO
  2. CECILIA PASCHAL MLAMTULU
  3. EPHANIA THOMAS MAISHE
  ASSISTANT ACCOUNTANT
  1. NEEMA NYAONGE
  2. PHILLIP PHILIBERT ITANISA
  COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER
  1. SIMON M. KIONDO
  TECHNICIAN II (CIVIL)
  1. HASSAN MNANDALA
  STATISTICIAN II
  1. VALENTINE VEDASTO
  2. AZIZ MHEHE
  RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
  1. NAIMA AHMAD
  MARKETING OFFICER
  1. DIONIS DOMINICK MUSSERA
  PHYSIOTHERAPIST II
  1. AMARINE LEONCE SHAYO
  MEDICAL OFFICER
  1. DR. NTEVONA S. MTERA
  NURSING OFFICER
  1. GETRUDE NAPHTALI
  2. PREDICANDA M. SIMTOWE
  PUBLIC HEALTH NURSE ‘B’ II
  1. DORIS SAHALI
  2. LUCY E. TENDA
  3. KURUTHUM SALUM SENGA
  LIBRARY ASSISTANT II
  1. DINNA DISMAS MBAWALA
  X. M. Daudi
  KATIBU
   
 3. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Thanks man, haya sasa asiye na mwana aeleke jiwe, tuna furaha na kukupongezeni kwa kupata kazi, pamoja majaaliwa na sie twasubiri zamu na rizki zetu wakati ukifika. Good luck
   
 4. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mmteule, umefanya jambo la maana kuweka hayo matokeo kabisa, nilikuwa nataka niyadownload ila nashukuru kwa kuyaweka.
   
 5. m

  mmteule JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280

  thanks mkuu pamoja sana humu jamvini!
   
 6. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hureeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!. hongereni thana ndugu mlioitwa na therikali kuitumikia tandhania yetu.

  ombi langu kwa wale waliobahatika warudi jamvini na kushukuruwadau pia wathithite kutupatia mbinu dha mafanikio yao ili wadau walioko mchakatoni wadhitumie. i hope we belong to the thame Dady.
   
 7. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona hamna?
   
 8. k

  kipuyo JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 1,143
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  wazee mbona kwenye website ya Utumishi,ajira wala PMO RALG zisioni?
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  da raha sana cku izi serikalin ndan ya miez miwili 2, kazi unapata..safi sana na hongera zao ngoja 2subir na sisi.
   
 10. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Udini hapa! Dah! Wapi Mzee Mtei??
   
 11. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hongereni sana kafanyeni kazi ili taifa letu liendelee
   
 12. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
 13. sajo

  sajo JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Nimemind japo haitanisaidia kitu as majina yashatoka,kwenye WARD EXECUTIVE II ya wilaya ya Nachingwea nilikua mmojawapo wa tuliotwa kwny interview..tangazo lilisema post 13 na interview tukaitwa watu 175,leo nashangaa kuona waliochaguliwa ni watu wawili tu tofaut na tangazo la ajira na interview lilivyokua...
  Anyway hongera kwa waliochaguliwa,ngoja niendelee kuapply ingawa UTUMISHI wanakatisha tamaa,kama post 12 wametoa majina mawili,je hiz ambazo tangazo la ajira linaonyesha post 1 au 2,si hawatampanga mtu kabisa,japo interview watakuita ukafanye!
   
 14. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pole sana dogo!!! Jazbamita yangu inaonyesha umepandwa na jazba!!! Hebu punguza jazba. Ukiona hujaitwa ujue uko under-qualified. Unatakiwa uelewe kuwa kwa tangazo kusema kwamba kuna nafasi 10 za kazi na kisha watu 7 ndio mkaenda katika usaili, haina maana kuwa nyie 7 mtaitwa kazini. Ila inawezeka kati ya nyie 7 kuna ambao hamtafauri usaili na hivyo kupelekea kutokuitwa. Kama uko makini utaona kuwa nafasi za kazi zilizofanyiwa usaili ndani ya miez ya 3,4 na 5; ziko re-advertised!!!
  Hiyo maana yake mlioomba mwanzo na kufanyiwa usaili au hamkuitwa kabisa katika usaili, hamna sifa za kuitwa kazini (yaani mko under-qualified au mrifeli usaili), hivyo zinatangazwa tena ili kutafuta the right candites.
  Usikasirike dogo, rudi tena shule katafute qualifications za kutosha vinginevyo utaendelea kulalamika.

   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,002
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  poa mkuu.
   
 16. sajo

  sajo JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Inawezekana ikawa kweli unayosema,ila nadhani idea ni kucheki alternative way ya kumake money na sio kutegemea ajira tu,as kusoma tena kunahitaji hela nilipe hiyo ada na pia sijajua viwango gani vya kukolifai ndo wanavitaka wao maana kigezo ni e.g degree ya sheria au Public administration with no specified GPA,sasa hata nikiwa na GPA ya tatu wanaweza sema wanatka a 3.5,nikiwa na 3.5 watasema wanataka 3.7 as haiko wazi,kilicho wazi ni kua wanataka said bachelor of which i was and i have mpaka sasa....about interview kweli wao ndo waamuzi wa mwisho,ngoja nijipange upya..ila ahsante kwa ushauri mkuu!
   
 17. brazakaka

  brazakaka Senior Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  angalia vizuri kaka walioitwa kazini H/wilaya nachingwea kwa maafisa watendaji wa kata ni 12 na miongoni mwa walioitwa ni Lusajo andembwisiye lipo namba nne isije ikawa lako.
   
 18. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  duh, aisee achek fresh na aache lawama kama kweli.
   
 19. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Aiseee!! Wee ni mtaalam wa kuunganisha majina sijapata kuona!!!
   
 20. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ndo ushaona sasa.
   
Loading...