Kuna jamaa aliniambia kapigiwa simu na mhusika na kuambiwa aende kwa interview tar 29 yaani kesho
sasa nimejaribu kucheki sijaona tangazo lolote labda kama kuna tangazo kwa mbao zao za matangazo naomba
tujuzane hapa
Ni kweli kesho DUCE kuna interview na mtu mmoja ninayemfahamu personally nimeonana nae katoka mkoa kuja kufanya interview pale. Tatizo kile chuo wafanyakazi wanakikimbia sana kutokana na maslahi mabovu.
samahani kama hujaelewa mm mwenyewe ninaulizia maana kuna mtu tulipeleka nae maombi sasa ananiambia amepigiwa simu na hizi ishu sio siri ndio maana nikauliza kama kuna anayefahamu labda wametoa majina hapo Duce kwenye mbao zao za matangazo au sehemu nyingine yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.