Msaada Jamani niyoitaja hapo juu nimeambiwa ni Kampuni Ya Madalali wa kazi kama Elolink, na TaeSa Naomba mwenye Ufahamu kuhusu wao anielekeze walipo tupeleleke Cv tutkufa njaa jamani mtaani hali mbaya
Sidhani kama unasikilizaga taarifa ya habari.Kwa taarifa ni kwamba mawakala wa kazi wamepigwa marufuku kuendesha shughuli zao kuanzia leo if am not mistaken.
wamefungiwa tayari usisumbuke kaka
Sidhani kama unasikilizaga taarifa ya habari.Kwa taarifa ni kwamba mawakala wa kazi wamepigwa marufuku kuendesha shughuli zao kuanzia leo if am not mistaken.
Hili gengo lipo mkoa gani hapa Tanzania mkuu