Sasa huu utapeli umezidib,watu wanojifanya wapo kwenye vitengo flaniflani kwnye taasisi na mashirika mbalimbali wamezidi kutumia mbinu chafu kuwatapeli watu hususani wahitimu wa vyuo vikuu...
Najiuliza maswali kadhaa,tumetembea sehemu nyingi hasa makampuni makubwa ya kigeni na mahotel makubwa tulichogundua asilimia kubwa ya professionals wanaofanya kazi humo ni wakenya ambao kwa namna...
Habari wadau,nimefuatilia kwa karibu sana masuala haya ya kazi,nimegundua wapo watanzania wenye uwezo,watu wanasingizia ooh siju uaminifu hatuna uzoefu,blaa,blaaa,jamani ukweli ni kwamba
hawa...
FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff includes experts in Health...
JAMANI SIJAELEWA KABISA HAWA JAMAA. kwa waliofanya application za kaz zao nadhani wana majibu kuhusu usajiri wa wafanya kazi ada LAKI MOJA. hata kabla ya kuitwa kwenye interview jamani hii...
Wadau
Hawa jamaa wa Tume ya ajira kuna usaili wamefanyisha pale taasisi ya elimu ya watu wazima mnamo tar.6&7.2014.
Then usaili mwingne ukafanyika tar 28&29.2014 pale Kituo cha elimu Kibaha...
Chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kilitangaza kazi september 2012 na |November mwaka huohuo waliotuma maombi wakaitwa kwenye usahili wa kuandika (Written interview). Mwezi march mwaka 2013 watu...
Jamani ndugu zangu habari za asubuhi ninaomba kwa yeyote mwenye kampuni au anayefahamu kampuni ya Logistics inayotoa ajira anisaidie. Nina experience ya miaka 4 kwenye industry.
Natafuta kazi ya...
Kumekuwa na post nyingi sana kuhusu internet jobs, kuwa "make money online" lakini mpaka leo hii sijaona watu/mtu akisema kuwa yeye ameshafanikiwa kwa kujiajiri huko, hivyo mi...
Wadau naombeni msaada, nataka nijisajili na huduma hizi. Pia nakumbuka mwaka jana aljitokeza mdau mmoja mkazi wa mwanza humu ndani aliweka email yake kwa wale wanaotaka kuanzisha huduma ya m-pesa...
Wakuu, natafuta house girl wa kusaidia kazi za nyumbani. Nyumba ina familia ndogo ya watu watatu, yaani baba, mama na mtoto anayeenda shule (chekechea). Maji yapo hapo hapo masaa 24 kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.