Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habarini. Kama kichwa kinavosomeka, hivi na nchi zingine ndo wanateseka hivi? mpaka sasa ni kampuni chache tu zinazoita usaili mikoani, asilimia 90 ni mpaka Dar. Sasa imekuwa kero watu wapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mifuko ya jamii hususan NSSF imeshindwa kudai makato ya wanachama wao kutoka kwa baadhi ya waajiri, hatua ambayo inawanyima wanachama haki ya kufaidika na fursa mbalimbali wanazostahili kutoka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Kwa miaka ya hivi karibuni jeshi la polisi limekua na mazoea ya kutangaza ajira kwa wahitimu wa form four na form wanaomaliza ndani ya mwaka huohuo wanaotangaza ajira zao.Mfano...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana JF. Napenda kujua vigezo vipi vinatumika wewe/mimi kuchaguliwa kati ya wasailiwa wa nafasi ya kazi. Nimefanya interview kama mbili hivi naona kabisa nimefanya vizuri lakini nikakosa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Head ache
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hii post wale 25 people wameshaita?au kuanza maybe?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mfanyakazi wa stationery anaitajika,ipo kinondoni "a"tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I have experience of teaching more than two schools in above mentioned subject, contact me on 0682883703
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nijuzeni kuhusu hili hawa TRAVEL PARTNER kuna nafasi wanatangazaga mara kwa mara najaribu mimi na rafiki zangu na wote tunakua na vigezo vyote ila hata kuitwa interview hakuna. Nshaleta CV...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Job Opportunity ICT Officer Nature and scope Advent Construction Ltd is one of Tanzania's largest and most recognized construction companies. With a workforce of over 1000 staff, our...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wenzangu wa lead generator kuna aliyetafutwa mpk leo hii? Au kazi hazipo tena
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini za leo wakuu. Eti mshahara wa TPDC PS1 ni kiasi gani, yaani ni shilingi ngapi? Tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Our client, a renowned industrial and trading group, involved in the business of fast moving consumer products, beverages and communication equipment (cellphone) is looking for an energetic...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF naomba kujuzwa kuhusu Graduate Recruitment Program ya Mgodi wa Geita kama wamekwisha toa shortlist. Kama bado wakisha wezesha hilo kwa wale wenye taarifa naomba tusaidiane katika...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Namshukuru Mungu kwa kunipatia kazi STAMICO, tuendelee kumtumaini Mungu kuna siku tu kila mtu atajibiwa maombi yake.
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Wanahitajika wafanyakazi wa majumbani (Housemaids) kwenda kufanya kazi Dubai, Ajman na Sharjah. Mshahara mzuri Muombaji awe na umri wa miaka 24 na kuendelea, aweze kuongea kwa ufasaha...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Wadau. Naomba ufafanuzi kuhusu mashirika ya umma maana sielewi kwanini kiasi fulani yanaendeshwa kama private organisation lkn ni ya umma. Mfano UDSM.UDOM.Kibaha Education Centre..Mfano hapo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Locally known as the Walter Reed Southern Highlands AIDS Program, the Henry Jackson Foundation Medical Research International (HJFMRI) is an international non-governmental organization working in...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wana JF Mimi ni mwanamke wa miaka 24. Natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au vipodozi kwa mwenye kuhitaji msaidizi, nitafanya kazi kwa bidii na uaminifu. Nahitaji msaada wenu wadau. Nipo Dar
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pathfinder International's mission is to ensure that people everywhere have the right and opportunity to live a healthy reproductive life. In Tanzania, Pathfinder provides women, men, and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom