Kipi kikubwa kati ya hivi vyeo

Kipi kikubwa kati ya hivi vyeo

punjabu

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
89
Reaction score
65
Hivi ni cheo kipi kati ya hivi viwili ni kikubwa kuliko kingine, namaanisha kati ya Chief Accountant na Principal Accountant
 
Ndugu kikubwa hapo ni CHIEF ACC na PRINCIPAL ACC yeye yuko chini ya CHIEF au kwa maana nyingine ya kiswahili twasema ni Mhasibu Mwandamizi. umenipata hapo... kwa hiyo CHIEF ni mhasibu mkuu na PRINCIPAL ni Mwandamizi wake.
 
Hivi ni cheo kipi kati ya hivi viwili ni kikubwa kuliko kingine, namaanisha kati ya Chief Accountant na Principal Accountant

chief accountant ndiyo cheo kikubwa mkuu.
 
Back
Top Bottom