Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Jamani ndugu zangu habari za asubuhi ninaomba kwa yeyote mwenye kampuni au anayefahamu kampuni ya Logistics inayotoa ajira anisaidie. Nina experience ya miaka 4 kwenye industry.
Natafuta kazi ya logistics/ clearing and forwarding company.
Natafuta kazi ya logistics/ clearing and forwarding company.