Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,933
- 1,179
Kumekuwa na post nyingi sana kuhusu internet jobs, kuwa "make money online" lakini mpaka leo hii sijaona watu/mtu akisema kuwa yeye ameshafanikiwa kwa kujiajiri huko, hivyo mi nakaribisha"USHUHUDA" kwa mwenye nao aseme kama ameshafanikiwa au uzushi tu.
Maana hata watoa hizo post sijawahi waona wakisema kama wameshafanikiwa, wao ni kutoa link tu na kusepa.
Eg: Task Job
Maana hata watoa hizo post sijawahi waona wakisema kama wameshafanikiwa, wao ni kutoa link tu na kusepa.
Eg: Task Job