Muhimbili: Kazi za Novemba

Muhimbili: Kazi za Novemba

runyaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
523
Reaction score
241
Kwa yeyote anayejua kinachoondelea kwa hizo kazi naomba aniambie make naona kama mda umekuwa mwinggi
 
Juzi tarehe 17/01/2014 watu walioomba kwenye kada ya MANUNUZI ( Procurement Officers) walipigiwa simu ya kuitwa kwenye usaili utakaofanyika tarehe 21/01/2014 Jumanne ijayo.

Kuhusu kada zingine sina uhakika.:hand:
 
Mi nilikuwa nimeomba assistant accountant
 
Ni vizuri mkapitia Akaunti zenu za Email maana huko ndo kuna maelekezo ya msingi yanayohusu usaili huo wa MUHAS.

Kila la kheri kwenu.
 
Bado tu muhimbili hawajatoa shortlist yao
 
Vipi muhimbili hawajashortlist hizo nafasi hasa ya assistant accountant
 
Back
Top Bottom