Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Sasa huu utapeli umezidib,watu wanojifanya wapo kwenye vitengo flaniflani kwnye taasisi na mashirika mbalimbali wamezidi kutumia mbinu chafu kuwatapeli watu hususani wahitimu wa vyuo vikuu ..huwapigia simu na hata kukutana nao ili kuwahakikishia kua issue ipo kweli .
Wanachohitaji ni Tsh 50000 pamoja na CV ya muhusika .. atajifanya kumpigia simu siku kazaa huku akimuhimiza kutafuta na wenzanke wenye hitaji la kazi kama yeye ..siku zinazofuata sasa .. "namba unayopiga haipatikani" .. nimelishuhudia zaidi kwa watu watano .. be careful especially finalist .
Advice ..ingieni kwenye ujasiria mali kama ajira hakuna