malifimbo
Senior Member
- Apr 2, 2013
- 129
- 32
Mimi nahitaji shule ya kufundisha haya masomo hapo juu yaan History and Civics. Nina shahada ya Sayansi ya jamii katika Historia. Sichagui sehemu ya kufanya kazi hata mkoani naweza fanya kazi hii ya kufundisha masomo haya, cha msingi tukubaliane vizuri. Kama upo tayari wasiliana na mimi.
Kwa sasa nipo Dar nitafute 0765268577 mda wote
Asanteni.
:help:
Kwa sasa nipo Dar nitafute 0765268577 mda wote
Asanteni.
:help: