Niko Dilemma

Niko Dilemma

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wadau mimi nshawahi ajiriwa serikalni kama mwalimu ila badae nkakimbia mazingira magumu, kilichofata mkurugenzi akafunga mshahara na badae akanifuta kabisa kwenye payrole.

Kama bahati nimebahatika kupata kazi kupitia tume ya ajira katika shirika la umma. Wakati najaza mkataba wa kazi HRM wa shirika alinisisitza kama nishawahi ajiriwa serikalini nisifiche maana system itanidetect hata kama nishafutwa payrole. Mimi licha ya hilo nilikaa kimya na jana nimeanza kazi.

Kwa wale wanaoyaelewa masuala haya je kwa hali hii naweza pata cheq namba?
 
Watakugundua tu!! utaratibu huo umekosesha watu kibao nafasi,,,anyway,,sali sana mdau!
 
piga mzigo kaka, hiyo mambo hakuna!!!
 
Sijawahi kusikia kuwa TZ ina data base ya waajiriwa wake wa serikali, na kama ipo basi imeanza labda baada ya tume ya ajira kuundwa.
 
Wadau mimi nshawahi ajiriwa serikalni kama mwalimu ila badae nkakimbia mazingira magumu, kilichofata mkurugenzi akafunga mshahara na badae akanifuta kabisa kwenye payrole.

Kama bahati nimebahatika kupata kazi kupitia tume ya ajira katika shirika la umma. Wakati najaza mkataba wa kazi HRM wa shirika alinisisitza kama nishawahi ajiriwa serikalini nisifiche maana system itanidetect hata kama nishafutwa payrole. Mimi licha ya hilo nilikaa kimya na jana nimeanza kazi.

Kwa wale wanaoyaelewa masuala haya je kwa hali hii naweza pata cheq namba?

kwa nini hukuwa wazi kwa HRM kwa alikwambia ukiwa wazi atakuachisha kazi??....mficha XXX........
akigundua ilhali wewe ulificha utakuwa umechafuka mno, bora mwendee ukiri kosa la kufiha mapema kabla ya probation kumalizika
 
Wadau mimi nshawahi ajiriwa serikalni kama mwalimu ila badae nkakimbia mazingira magumu, kilichofata mkurugenzi akafunga mshahara na badae akanifuta kabisa kwenye payrole.

Kama bahati nimebahatika kupata kazi kupitia tume ya ajira katika shirika la umma. Wakati najaza mkataba wa kazi HRM wa shirika alinisisitza kama nishawahi ajiriwa serikalini nisifiche maana system itanidetect hata kama nishafutwa payrole. Mimi licha ya hilo nilikaa kimya na jana nimeanza kazi.

Kwa wale wanaoyaelewa masuala haya je kwa hali hii naweza pata cheq namba?

hiyo ipo mkuu wazi kabisa ukiajiriwa na serikal sehem ukasepa hutapata tena ajira .ombea jina liwe limefutwa kabisa usikute hajafuta ww hujui lkn kila mtu na bahat yake omba mungu sana atakusaidia.
 
Mzee kwa hilo ni wewe na mungu wako sali sana akuepushe na hilo maana ukigundulika itakuwa ni mbaya kwako mkuu.
 
Back
Top Bottom