GOKILI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 639
- 443
Wanajamii natumia fursa hii kuwatahadharisha juu ya watu ambao wamekuwa wakiwapigia simu watu waliowalenga wakiwaahidi kuwaunganishia kazi katika kampuni zinazojihusisha na uchimbaji wa madini kule Geita/Kahama na zile zinazojihusisha na kutengeneza miundo mbinu ya uchimbaji wa gesi kusini mwa nchi .
Hawa jamaa wamekuwa wakiwalenga watu wa fani ya Food Production na Food and Beverage Services na Madereva. Watu hawa watakupigia simu na kujifanya wapo site na huko kuna upungufu wa wafanyakazi kwenye nafasi hizo. Hukushawishi kwa vigezo vya mshahara, ambao kiukweli uko juu. Pindi utakapokubaliana nao watakwambia usafiri kwenda site aidha Mtwara ama Geita na ukishafika watakwambia wanakuja kukuchukua lakini tuma kwa mpesa /tigopesa ili pesa mliyokubaliana ili wampe bosi na hapo ndio umeumia na wala hutawaona na wala kupata mawasiliano nao.
Namba wanazotumia ni 0715008377; 0682559732 na 0754928309.