Natafuta Kijana wa Kuuza Bucha la Samaki

Natafuta Kijana wa Kuuza Bucha la Samaki

bintimzalendo

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
74
Reaction score
30
0652436216

Natafuta kijana wa kuuza bucha la samaki, awe anakaa mitaa ya mbagala.
-kazi yake itakua kupima na kuuzia watu samaki
-kutafuta masoko kwa wateja wa jumla
-kufuata mzigo mabibo pale inapolazimika kufanya hivyo.

Sifa za kijana anaetakiwa
-mchapa kazi na mwenye kujituma
-mwenye uchu na mafaniko
-mwenye nidhamu
-anaejua mahesabu na vipimo
-wakazi wa mbagala watapewa kipaumbele

Mshahara:biashara ndio inakuwa, malipo tutazungumza na bidii yako ni muhimu zaidi ili kunishawishiwi nikuongezee mshahara
 
Rekebisha kiingereza,butcher maana yake ''some one whose job is to sell meat/kill animal for meat.Hivyo ndugu kimsingi hakuna butcher ya samaki.wewe sema tu duka la kuuza samaki wabichi au wakavu
 
si umwambie "mbebez" wako mwenye sura mbaya kama shetani ndo akusaidie!!..akisimamia mzigo wateja wote wanakimbia wanazani nyumbu katoroka mikumi!
 
si umwambie "mbebez" wako mwenye sura mbaya kama shetani ndo akusaidie!!..akisimamia mzigo wateja wote wanakimbia wanazani nyumbu katoroka mikumi!

nyumbu, mbogo na nyati nawachanganyaga... btw wote wabaya..

vijama.changamkieni.deal ili...
 
si umwambie "mbebez" wako mwenye sura mbaya kama shetani ndo akusaidie!!..akisimamia mzigo wateja wote wanakimbia wanazani nyumbu katoroka mikumi!
Hivi wewe una matatizo gani??
 
Weka salar ubaoni nikupe namba ya kijana mtiifu
 
Hivi samaki nao wana butcher anyway all the best mkuu.
 
bintimzalendo, kuna kijana anaitwa Polax kaja dar juzi tu kutokea kusini..

nadhani atakuwa na moyo wa kazi tu, msaidie!
 
Last edited by a moderator:
bintimzalendo
Nina kijana yupo mbagala mzoefu kwa kazi hiyo,Nime ku pm na kukupigia simu yako sijakupata.
 
Last edited by a moderator:
bintimzalendo ukipata kijana nitakutafuta nataka kujua biashara hiyo inaendaje nnampango wakufungua
 
Last edited by a moderator:
Usijali best yangu jamaa uyu nampigia sim hapokei kabisa
 
Rekebisha kiingereza,butcher maana yake ''some one whose job is to sell meat/kill animal for meat.Hivyo ndugu kimsingi hakuna butcher ya samaki.wewe sema tu duka la kuuza samaki wabichi au wakavu

Asante kwa kurekebisha, ila nadhani tangazo limeeleweka na walengwa wanalifanyia kazi
 
Bhululu Hapa naongelea biashara na sio kuuza sura nikitaka mtu wa kuuza sura hata yangu inauza sana tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom