karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 138
Mimi nimeajiriwa katika wizara elimu ,toka mwaka 2010,ila nilitaka kuhamia katika halmashuri yeyote iliyoko kanda ya ziwa kwa sababu ya family issues kwa yeyote anaejua utaratibu pls anisaidie pls.
Asanteni sana
Asanteni sana