Nataka Kufanya Kazi kwa Kujitolea

Nataka Kufanya Kazi kwa Kujitolea

MWANAMASOKO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
213
Reaction score
94
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nimehitimu chuo kikuu Mzumbe. Nina shahada ya kwanza ya utawala/uongozi wa biashara katika masoko (BBA-MARKETING).

Position: Assistant accountant, sales or marketing

Sina ujuzi ndo maana nataka kuanza kwa kujitolea.

Nipo Dar es salaam.

Tusaidiane jamani nipate nafasi.

Nitumie ujumbe katika namba hizi 0719879608.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom