Habari zenu wana Jamii Forum.
Natafuta kijana mwaminifu na mchapakazi aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana na kurudi nyuma anayekaa maeneo ya Ubungo sheli hadi buguruni, umri miaka 18 hadi 22. kazi yenyewe ni kusimamia biashara yangu ya michezo ya watoto (ps2 games). Biashara ipo eneo la Ubungo riverside na nikipata mtu anayeishi maeneo ya karibu na hapo riverside atapewa kipaumbele zaidi.
Mshahara itategemea na uchapakazi na kujituma kwake ila utaanza na elfu 80 kwa mwez. kijana aliyekuwa tayari ani pm na kuweka namba zake za sim na nitamtafuta.
Natanguliza shukrani.