Chuo Cha Uasibu Arusha Waita Watu kwenye Usaili

Chuo Cha Uasibu Arusha Waita Watu kwenye Usaili

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,989
Reaction score
9,946
Pitieni website ya hiki chuo wametoa tangazo lenye majina ya waliochaguliwa kuhudhuria usaili wa nafasi za kazi walizotangaza.

Hongereni na kila la kheri wote mlioitwa kwenye usaili hiuo.
 
Hapo kazi lazma uwe ndugu wa Monyo ( Rector )
walioitwa miongoni ni jamaa mmoja anamuita rector uncle..alisomaga hapo hapo
Niliwahi kusomaga hapo awali sijawahi kupenda mfumo wa management na kina nuka siasa sana hiki chuo...ukitupiwa kesi ya u CDM..jihesabie chuo huna
 
Hawa jamaa ni wapumbavu sana. Kazi walizozitangaza mwezi wa 12 sio walizoita kwenye interview. Walitangaza kazi za senior positions lakini hawajaita wameita kazi ambazo hazikuwepo hata kwenye tangazo lao. Wanaliwa hawa na wachawi tena wanaliwa kavukavu
 
Hawa ni zaidi ya wapumbavu
walitangaza kazi za senior posts lakini nashangaa wameita watu kwenye interview nafasi ambazo hazikuwepo kwenye tangazo lao la kazi
watakuwa wanaliwa na wachawi hawa washenzi
------ yao
 
Back
Top Bottom