CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za leo wakuu...
Nimeona Tangazo la Nafasi za kazi BMC, naomba kujua viwango vya mishahara yao kama wakivyoainisha kwa madaraja...
1. PMGSS 18
2. PGSS 5
3. PMGSS 10
4. PGSS 5-6
5. PGSS 14
Natanguliza Shukrani
Cheer,
CL
C.C: hippocratessocrates

Last edited by a moderator: