Digital Opportunity Trust - DOT

Digital Opportunity Trust - DOT

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,488
Reaction score
11,727
Aisee naomba kuuliza hawa jamaa wanajiita Digital Opportunity Trust walikuja hapa watu tukajaza mafom yao na kujibu maswali online. Wamepotelea wapi aisee mwenye taarifa
 
interview zilifanyika siku tatu jamaa yangu kafanya jumatano.
 
oral interview mwisho ilikua leo, kuanzia juma tatu watu wanaitwa kazini.
 
duh! Haya jaman ipo siku lakini chance itajilengesha tu niibutue
 
Back
Top Bottom