kwani walishawaita watu for interview?Wizara ya Nishati na Madini ndo walivyo kaka. Wanaita watu kwa simu huwezi juwa kama wanaoitwa ndo walioomba au la!!! Stamico wamewaita watu kwenye usaili mpaka leo hakuna majibu.....subiria tu
Wadau mwenye habari za kweli kuhusu TPDC watatoa lini shortlist yao.
Wadau mwenye habari za kweli kuhusu TPDC watatoa lini shortlist yao.
hawa walitoa nafasi mwaka 2012 wakaita inteview miez 6 baada ya deadline. wakatoa 2013 wakainta miezi 4 baada ya deadline. tukiforecast kwa kutumia hiyo trend, wataita miezi 2 baada ya deadline, so tutegemee kuanzia mwez aprl mwishon
Haya mashirika hayana ustaarabu hata kidogo!kama yanaweza kutangaza nafasi za kazi, kinawashinda nini kutangaza waliochaguliwa au hata kushukuru tu watu kwa kujitokeza katika website zao!? inakera sana kusikia watu wapo kazini wakati ww ndo kwanza unajipanga kwa interview.