Kazi za Mahakimu

Kazi za Mahakimu

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,343
Reaction score
16,807
wakuu nimesikia hizi kazi zilitangazwa kwenye gazeti la mwananchi la tarehe 15,nilipo hilo gazeti halipatikani!mwenye data tafadhari niokoeni!!
 
Mahakama wametoa nafasi za kazi angalia hata gazeti la leo mwananchi.

Mahakimu kwenye 51
Msaidizi wa Majaii 1
Wasaidiz wa kumbukumbu 47
Makatibu Mahsusi 11
Walinzi 57
wahudumu
madereva

hata kama figure nimekosea kwa vile nimesoma asubuhi ila ukitaka sifa ndio tafuta gazeti.
 
Back
Top Bottom