zipo karibu na hospitali ya hubert kairuki,fika maeneo hayo ukimuuliza mtu yeyote,utafika
Which is which?Mikocheni kwa warioba , ukifika warioba nenda mbele kidogo pita hyo bar hapo na utaona bango la oxford na nothern engineering.....
Kama kuna mtonyo tutonyane
Which is which?
asante bro nataka nipeleke cv tu, maana hawa watu huwa hawatangazi nafasi
Ushauri pia naukubali, vipi Ngongo upo na hawa jamaa NEWL?