Kusaili waalimu

Kusaili waalimu

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habar zenu wakuu, hivi hakuna umuhimu kwa tume ya ajira nchini kuwafanyia interview(usaili) waalim na kada zingine kama ambavyo imefanya kwa maafisa mifugo na kilimo mwaka huu?ambao nao pia walikuwa wana ajiliwa moja kwa moja bila ya usaili.............
 
mara nyingi kwa nchi yetu usail hufanyika pale tu waombaji wanapokuwa wengi kuliko wanaohitajika na ndo kilichotokea kwa watu wa kilimo na mifugo
 
Back
Top Bottom