M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 60 Mar 16, 2014 #1 Mwenye habari mpya za uhamiaji atuwekee hapa...pia nauliza kama ni lazima afisa mkaguzi msaidizi wa uhamiaji kwenda Depo kama askari wa uhamiaji
Mwenye habari mpya za uhamiaji atuwekee hapa...pia nauliza kama ni lazima afisa mkaguzi msaidizi wa uhamiaji kwenda Depo kama askari wa uhamiaji
PRESIDA TO BE.. JF-Expert Member Joined Dec 12, 2012 Posts 302 Reaction score 200 Mar 16, 2014 #2 Kwani afisa mkaguzi msaidizi sio askari?? Wote ni askari so depo muhimu