Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakubwa,tulifanya written interview two or three weeks zilizopita na hawa gaming board.sijaona majibu ya usahili kwenye website yao mpaka sasa,kuna taasisi kama psrs mnafanya usahili watu wengi...
2 Reactions
4 Replies
596 Views
Wazee niaje Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba. Mshindwe ninyi tu!
2 Reactions
86 Replies
9K Views
Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549
1 Reactions
3 Replies
600 Views
1. Chinese translator 2, finance 3.hotel reception desk Contact number 0752333880
5 Reactions
1 Replies
436 Views
Hizi ni skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa. Kwa kutumia AI Agency, usipojiongeza mapema utapunguziwa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Hello wana JF, Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA. Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa...
1 Reactions
67 Replies
30K Views
Wanazengo habari zenu Kama kichwa kinavyojieleza..dogo wa miaka 21 anaesoma chuo kwa sasa mwaka wa pili degree kapata mchongo wa kwenda kwenye kazi za watu za kijeshi..na kazi yenyewe kapata...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa zangu, Nanyenyekea sana nikiamini JF uwa hakuna tatizo linalokosa msaada. Wakubwa nahitaji msaada wenu ni kwamba kuna company flani kubwa tu staki kuitaja ila department...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi...
3 Reactions
2 Replies
573 Views
Salamu wana jukwaa wenzangu. Nauliza maswali gani huulizwa kwenye nafasi ya accounts officer ii taasisi ya Tanzania aviation authority. Tusaidieni, wengine ndio mara ya kwanza kuitwa interview...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….! Pitia...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Syrup Room and Water Treatment Team Leader Job at Coca-Cola Kwanza - Career Opportunity in Tanzania Overview Job Category: Administrative Job Type: Full-Time Deadline of this Job: 18 January...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi Huyu ndugu yangu aliomba mafasi ya kazi WESTERN GOVERN UNIVERSITY anasema nafasi zilikuwa Arusha . Lkn cha kushangaza alitumiwa mail atume vyetu,kitambulisho Na video short...
2 Reactions
8 Replies
415 Views
Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo. Nafasi hizi za...
8 Reactions
113 Replies
9K Views
Nilipeleka CV erolink week iliyopita leo nimepigiwa sim nikafanye interview ya vodacom customer care. Najua wapo wadau humu waliowahi kufanya interview pale.naomba dondoo muhimu kama mshahara wa...
0 Reactions
48 Replies
13K Views
Fikiria wewe ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania (United Republic of Tanzania 🇹🇿 ) au mshauri wa karibu sana na Mh Rais sasa na unataka kumaliza au walau kupunguza tatizo la Ajira kwa...
2 Reactions
5 Replies
431 Views
Naomba kuuliza eti inafaa kubadili kada ikiwa umeshaajiriwa mfano kutoka elimu kwenda afya yan umeajiriwa kama mwalimu badae ukaamua kwenda kusomea udaktar inafaa
7 Reactions
15 Replies
773 Views
Natafuta kumwajili mtu mwenye cheti cha ADDO.. Medication back ground.. Anisaidie kuuza dawa.. Zinga Bagamoyo.. Unasifa izo na unahitaji wasiliana nami 0679102559 au 0755102559
1 Reactions
1 Replies
287 Views
1. Qualification Diploma/Degree Marketing or business related. 2. English speaking skills, computer skills, communication skills, Leadership skills, negotiation skills, marketing,coordination...
1 Reactions
3 Replies
439 Views
Back
Top Bottom