Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wakuu. Nipo DSM kwa sasa nahitaji Shule kwa ajili ya kujitolea. Nina uwezo wa kufundisha masomo yafuatayo; English Civics Kiswahili. Elimu yangu ni Degree Hivyo natafuta Shule ya...
2 Reactions
10 Replies
684 Views
Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi...
1 Reactions
2 Replies
368 Views
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA. Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao Wasio na connection wanatoboa hapa ? Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati...
2 Reactions
7 Replies
916 Views
Husika na heading hapo juu Elimu diploma ya clinical medicine GPA ya 5.0 Kazi anazo weza kufanya 1. Kutibu wagonjwa both symptomatically and clinically 2. Kufundisha masomo ambayo anayoweza...
2 Reactions
8 Replies
676 Views
Habarini wadau kwema wote humu, natumaini wote wazima humu Mwenye changamoto yoyote ya kiafya MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA. Niende kwenye mada Moja kwa Moja wadau natafuta kazi ajira yoyote kama...
2 Reactions
4 Replies
925 Views
Naitwa Jerald, nina miaka 26. Nipo Dar es salaam, natokea mkoa wa Mwanza. Natafuta kazi yoyote halali iwe ulinzi, dukani au usafi. Nina elimu ya kidato cha sita.
2 Reactions
4 Replies
889 Views
TMDA VS TRA Habar wadau mpo pouwah. Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur? A) Mishahara ipoje B) Allowance wapi ni nyingi zaid.. Maana kuna rafk yangu wa karibu...
9 Reactions
108 Replies
20K Views
Unaweza kuniunganisha na agent nikapata kazi ufundi umeme Qatar au Oman au falme za kiarabu mshahara wa miezi miwili nimalipo ya agant passport nitafuta Kwa gharama zangu WhatsApp me 0621264212
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu!eti hivi mwajiri anaposema let say anataka mtu mwenye diploma ya business,marketing etc or equivalent qualifications huwa anamaanisha degree au form six?
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Hellow members natumaini mko poa kabisa _Kama kijana mtanzania ninae ipambania kesho yangu ,kijana wa kimaskini ambae natamani siku moja nifanikiwe pia niwe daraja la mafanikio kwawengine ila...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
Bila kuwa mkewe wa mama, nani angemjua Mohamed Mchengerwa? Angeupata wapi uwaziri? Angetoa wapi jeuri ya kuwafokea akina Albert Chalamila wakaufyata kama watoto wadogo pamoja na kusifika kwao kwa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Tukiwa wahanga wa mda mrefu wa sahili za TRA ,na wengi kufanikiwa kupata nyakati za utumishi ila kwa kipindi ambacho wanasimamia TRA wenyewe, changamoto zilikuwa nyingi sana,nadhani kwa kipindi...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari Wakuu! Mimi ni Mechanical Engineer shahada yangu nimeipata mwaka 2017 katika moja ya vyuo hapa nchini. Tangu nihitimu nishajitolea katika makampuni/taasisi mbili tofauti, na kila moja...
6 Reactions
83 Replies
13K Views
Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba...
3 Reactions
46 Replies
30K Views
Habari za muda huu. Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi? Note:- diploma holder
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha Nne wenye sifa zifuatazo: 1...
13 Reactions
104 Replies
13K Views
Kazi.Habari natafuta kazi yoyote npo dodoma nna miaka29 elim nna degree ya development studies.experience nna ya miaka mitatu ya kufanya kaz kam sales officer bank
5 Reactions
5 Replies
420 Views
Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations)...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 -...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom