Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
TRA wamewa-shortlist wenye digrii za Bank & Finance Kwa kigezo cha Finance, wamewaita kwenye usaili na namba za usaili wakawapa, Lakini siku ya Interview wakawatenga.
Ajira za TRA kupitia...
Habari za muda huu waheshimiwa, samahani, leo nimeona nimekuwa shortlisted kwenye written interview ya accounts assistant officer OSHA (Occupational safety and health authority). Hii ni mara ya...
Salam.
Kwa anayejua tafadhali anisaidie kujibu yafuatayo.
✓Je, ni lazima uwe mfanyakazi au mwajiriwa ndio usome course (training) zao?
✓ Kwa graduate akitaka kupata hayo mafunzo kuna...
POST: DRIVERS – 18 POST
POST CATEGORY(S): DRIVER’S
EMPLOYER: Occupational Safety and Health Authority (OSHA)
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-17 2021-03-02
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES...
Habari Wana JF natumaini mu wazima.
Mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2024 katika fani ya umeme.
Katika kujitafuta na kupambana na ajira bado sijabahatika ila nimeona Kuna leseni zinazotolewa na...
Hellow friends.
Naomba mwenye kujua possible angles hawa jamaa wa TRA wanazouliza kwenye interview ya Tax Manager Officer.
Maana mambo mengi sana yakusoma so sijajuwa wapi hasa hawa jamaa huwa...
Wakubwa habari za wakati huu.
Kijana wenu bado nahangaika kupata kibarua Cha kufanya ili kukimu mahitaji ya familia yangu.
Naelekea kukata tumaini la kuishi kabisa,...Mniombee
Elimu yangu Ni ya...
Wakuu,tusaidiane kupaza sauti,hawa gaming board kuna uhuni nadhani wanataka kuufanya,
Tumefanya interview ya kuandika week tatu zimepita,hawajatoa majibu mpaka leo,number ya candidates hata...
kiukweli sijui kuna kitu gani chini ya kapeti. Serikali miradi mingi imesimama haifanyi kazi kama shida ni pesa tupitishe bakuli Tanzania nzima.
Sgr imesimama kuanzia tabora hafi uvinza tabora...
Mko salama wakuu?
Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra?
Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo...
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je...
Habari zenu wakuu. Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll
Mf majina ya nida na birth certificate yanasoma Ikupa Samwel Seba lakini vyeti vya...
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii.
Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari.
Gari ya...
Habari za humu?
Naitwa Juster nina miaka 22 nimemaliza diploma in laboratory technology. Nina tafuta kazi ya halali , nina experience ya matron wa shule, na sales pia kuuza dukani, super market...
Habari zenu wana jukwaa?
Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing...
Habari zenu wakuu,
Nimechaguliwa kufanya interview ya Risk Officer TRA, naombeni techniques na formula jinsi maswali yanavyotolewa na jinsi ya kupita hyo interview 🙏🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.