St. Augustine University of Tanzania
The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning institution owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of...
Mazoezi ndo chakula changu nina piga push ups 500 kwa siku, nina mafunzo ya boxing, muyai thai, wing chun, taikondo.
Nikiona makamanda wetu pale taifa kwenye maonyesho natamani na mm pain iwe my...
Habari wakuu, mimi ni kijana wa kiume (26), mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma, Shahada ya kwanza ya sayansi katika kemia (mkemia), ninaomba kazi Yoyote ile iwe ya taaluma yangu au ya kutumia nguvu...
Salaam Wakuu.
Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata...
Habari za siku wakuu,
Naomba aliewahi kufanya online interview za utumishi anipe mwongozo namna ambavyo inakuwa kwenye upande wa format, je maswali ni ya kuchagua? Na yanakuwa mangapi?
Kwanza natanguliza shukurani za dhati kwa hili JUKWAA la tenda na ajira na members na dhumuni langu kuhusu huu uzi nikutoa shukurani
Nilijiunga na jukwaa hili mwaka 2021 baada ya kuona baadhi ya...
Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi
WAOMBAJI - 135,027
Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027
NAFASI - 1,596
20 % kwa Wazanzibar - 319
80 % kwa Bara -...
HELLO QUICK _CONNECTTZ inakusogezea huduma nzuri ya delivery kwa watu walikosa nafasi na walio bizy tunafanya delivery maofisini na hata mahitaji ya nyumbani kama vile mboga mboga na nafaka kwa...
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
Habari,
Tafadhali pokea kiambatishi kifuatacho.
Kwa Mawasiliano zaidi usisite kutupigia 0741266566 au kufika ofisini kwetu ghorofa ya 20 jengo la PSSSF Millenium Towr II.
Karibuni sana
Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira.
Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira...
Habari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number...
Habari zenu wana Jamii Forums
Mimi ni kijana miaka 23 niliehitimu Diploma ya Insurance and Risk Management IFM mwaka jana, Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job.
Tafadhati naomba kama...
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana...
Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.